Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo Gari ata passo inalikata lamini
Nadhani utakuwa kwenye kufurahisha baraza zaidi..Kwanini hizi ngoma hazikimbiagi..Yani makelele mengi ipo pale pale
Atakuwa kwenye mipango ya kutuongezea siku za kuishi kwa furaha(vicheko)Ha ha ha ha ha, acha masihara mkuu [emoji23][emoji23].
Kuna wamiliki wa nissan patrol wengi humu na wenye experience nazo wataleta ushuhuda hapa.
mrangi ni mmoja wao amewahi tumia toleo la nyuma (Y60) kabla ya hiyo anajua shughuli yake.
Nadhani utakuwa kwenye kufurahisha baraza zaidi..
Nimetumia y61 kwa miaka mingi mnoo, najua unatania tu..
Inaonekana unapenda ligi, haina haja ta kuweka ligi barabarani, tayari ushaweka ligi hapa jf..Hizo gari hazikimbii kivile ni mwendo wa kawaida. Siku moja nilkuwa na fortuner jamaa nilimkata kama kasimama zaidi nilisikia makelele tu kama jamaa anavyosema. Kama unabisha chukua hiyo Nissan yako na mm nichukue fortuner tufanye ligi kidgo
Nadhani utakuwa kwenye kufurahisha baraza zaidi..
Nimetumia y61 kwa miaka mingi mnoo, najua unatania tu..
Gari ya kitabe a.k.a gari ya kazi a.k.a gari ya walio serious na haya maisha!Bei kali sana.. Bora mtu aongeze m 15 zifike 65 achukue Double cabin NP300 mpya!
View attachment 1497635View attachment 1497636View attachment 1497637
Ukilinganisha ni hivi visports car lazima ikalishwe haikutengenezwa kwa shughuli hiyo..VP kispeed maana naona wajumbe wanaikandia sana wakati wengie ni moja ya gari taraji
Hamna kitu wewe, unavosifia sijui mjomba wako analo basi unalipandaga jumapili!!Ukilinganisha ni hivi visports car lazima ikalishwe haikutengenezwa kwa shughuli hiyo..
Mimi nilikuwa natumia td 42 diesel engine.. Inacheleewa kidoogo kuchanganya.. Ila ikichanganya si mchezo, gari inatembea hii, halafu unahisi unanesa nesa tu mama ma mae... , so km utaipata ya petrol inaweza ikawa nzuri zaidi ya hii diesel katika kuchanganya..
Chukua mzigo, hutajuta.
Kama la wazee babaaTD42 ENGINE | MANUAL | 4WHEEL DRIVE | DIESEL
WHITE COLOUR | AFTER MARKET RIMS |BRAND NEW TYRES.
FULL AC | 93,000KM
VERY CLEAN INTERIOR.
UN-REGISTERED.
Price : 50Million Negotible.
📞 0744183343
View attachment 1497493
View attachment 1497494
View attachment 1497495
View attachment 1497496
View attachment 1497497
View attachment 1497502View attachment 1497498
View attachment 1497500
View attachment 1497501
View attachment 1497503
Hamna kitu wewe, unavosifia sijui mjomba wako analo basi unalipandaga jumapili!!
Gari lina makelele sana mwendo wa kobe. Kila mtu anasema/anajua hivo except wewe tu!
Hana hata bajaj kenge yuleKiduku Lilo chukua chuma hiki
Aje athibitisheHana hata bajaj kenge yule
Niambie linachelewa kuchanganya, nakuelewa, sio kusema halina speed, yaani nitembee 160km/hr halafu bado lijikongoje kama kobe, sasa si vituko vya abunuwasi hii..
We unataka kuleta porojo, mie nimelimiliki kwa miaka kadhaa.. Nishaenda nalo trip za mkoani hazina idadi maalum..
Haya wewe unaemiliki la kwako, na kudai halina mwendo, tupe uzoefu
Unaijua vizuri Nissan Patrol ikishakaa kwenye njia yake wewe?, Kwanza dude linakuwa 160km/HR halafu limetulia na mineso tu.Hamna kitu wewe, unavosifia sijui mjomba wako analo basi unalipandaga jumapili!!
Gari lina makelele sana mwendo wa kobe. Kila mtu anasema/anajua hivo except wewe tu!