Car4Sale Nissan pick up inauzwa

Car4Sale Nissan pick up inauzwa

Hata kule kwa wachaga wanapenda pick up lakini hiyo bei yako kamwe hawawezi nunua.
Ukifanikiwa kuuza hata kwa 14m,njoo uchukue 2m unywe bia na nyama choma,malaya ukitaka nitakupa laki 5 ya kuhonga na kununua kondomu.
 
Hii itakua gari ya Mirathi.

Mtoa mada atakua kadanganywa na wanafamilia kuhusu bei halisi ya hiyo gari.

Hiyo gari haiwez kuuzwa Mil.30

Brand New(registered & fully paid) inapatikana yard kwa Mil.24.

Sembuse hiyo used &Namba A!

Ndugu brand new gan hiyo inauzwa mil 24?
 
Back
Top Bottom