NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Ahaaa sema kweli!. Si ni mchezo uko nayo, si juzi tuu niliskia jirani akipiga 'kananda' eti yeye ametupiku kwa FDI?.Nairobi continues to dominate as the ultimate regional hub of East and Central Africa.
Nissan Decides to Establish Assembly Plant in Kenya
Labda FDI ya kuibiwa makinikia.Ahaaa sema kweli!. Si ni mchezo uko nayo, si juzi tuu niliskia jirani akipiga 'kananda' eti yeye ametupiku kwa FDI?.
Hahahaaa!. Ngoja watakwom, si vijembe utatupiwa, mapovu nkt!.Labda FDI ya kuibiwa makinikia.
which reminds me...saw this in the news today....next tunafaa tufwate electronics na electrical... akina Samsung, LG, Philips, Ramtons . ...etc
A step in the right direction ... sasa next baada ya kutufundisha walete kiwanda tutengeneze wenyewe.... niliwaza sana baada ya ku gundua Tz yangu ya miaka miwili ya LG ... hapo nyuma kumbe imeandikwa Made in Egypt... Yani hapa hapa tu, 3 countries north of us wanatengeneza hizi vitu on behalf of LGwhich reminds me...saw this in the news today....
LG launches Sh20m Nairobi showroom