Nissan to Establish the third Assembly Plant in Africa in Nairobi.

Nissan to Establish the third Assembly Plant in Africa in Nairobi.

FDI ya kununua mashine za uchimbaji migodi alafu unasikia kampuni hizo za migodi zinaripoti hasara.
 
next tunafaa tufwate electronics na electrical... akina Samsung, LG, Philips, Ramtons . ...etc
 
Labda FDI ya kuibiwa makinikia.
emoji23.png
emoji23.png
 
ukienda kwenye sherehe sio lazima kuchukua kila kitu wakati wa chakula kwa kuwa sio busara kuchukua chakula kingi halafu kikakushinda kikawa hakifai kwa matumizi.
lakini pia ni vizuri kuzingatia vipau mbele kwanza ni nini? hatuna umeme wa kutosha sidhani kama hiki kiwanda kinaweza kuwa kimbilio letu kwanza.
wacha tumalizane kwanza na bomba la mafuta halafu tutarudi.
mwisho hongereni kwa mradi mzuri ambao utapunguza upungufu wa ajira nchini kwenu kwa kuwa naamini kiwanda hakitakuwa capital intensive kiasi kichukue wafanyakazi wachache.
 
which reminds me...saw this in the news today....
LG launches Sh20m Nairobi showroom
A step in the right direction ... sasa next baada ya kutufundisha walete kiwanda tutengeneze wenyewe.... niliwaza sana baada ya ku gundua Tz yangu ya miaka miwili ya LG ... hapo nyuma kumbe imeandikwa Made in Egypt... Yani hapa hapa tu, 3 countries north of us wanatengeneza hizi vitu on behalf of LG
 
joto la jiwe, Hoshea, see wot I was talking about? The INVESTMENTS.

Kutokana na Kuzurura huku na kule ndio kupata viwanda vya aina hii. Sio kukaa tu kitako hapo nyumbani, huku wale wezi makanikia wakija hapo kwa wingi kuchimbachimba, huku wakiwaacha na faida kiduchu tu.....huku mkichekacheka eti mna wawekezaji kibao kuliko jirani.

It's quality over quantity over 'er, folks....
 
Back
Top Bottom