Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Inakuja na engine ya 1.5L Turbo Petrol, 4 gears Dedicated Hybrid Transmission, AWD, na inatoa total ya 400 hp.
Inakuja na motor moja na 33 kWh battery, linauwezo wa kutembea kilometa 130 kwa umeme tu na zaidi ya 1000 kwa umeme na full tank.
Kwa ndani, ina screen kubwa ya 14 inch, na kwa dereva kuna instrument cluster yenye size ya 10 inch.
Bei officially bado hawajatangaza, ila imekuja wakati muafaka BYD Shark 6 ambaye anauzwa $60,000+ anasumbua.