KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Na hili ndio linafanya mazuzu wdngi kuendelea kujidanganya kuwa Toyota ndio iliyo na magari bora kumbe ni hovyo.... Mafundi wengi ni wa kukaririUko sahihi nakubaliana na wewe 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili ndio linafanya mazuzu wdngi kuendelea kujidanganya kuwa Toyota ndio iliyo na magari bora kumbe ni hovyo.... Mafundi wengi ni wa kukaririUko sahihi nakubaliana na wewe 100%
Range rover majangatanzania asilimia kubwa ya mafundi wa nisani hawapo sawa na mafundi simu wa kariakoo na mikoani.
nisani inamfumo mwingi wa umeme na teknolojia ambayo ni ngeni kwa mafundi na hawa taki kusema ukweli ndio maana mafundi wanasingizia ni kimeo.
jiulize kwa nini range inamafundi wa kuhesabu na sio wakuokota kama toyota
Utakuta mtu mwenyewe hata toroli huna!Range rover majanga
Utakuta mtu mwenyewe hata toroli huna!