Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,603
- 1,848
Mkuu hapo kwenye figo.......!Kwanza uchawi wenyewe wa kuifanya gari izingue ni hapo kwenye oil, ikumbukwe oil ya gari haiongezewi ila inamwagwa upya na kuweka oil nyingine na hili ni tatizo kwa wamiliki wengi wa magari akifika dukani atakwambia nipe Lita 1 nataka kuongezea hapo ujazo lkn amesahau kwamba hii Lita moja ni oil mpya na ile iliyokuwemo tyl ishapoteza ufanyaji kazi wake. Hebu imagine umeenda hospital kupimwa ukakuta figo zako zote mbili zimeishiwa uwezo wa kufanya kazi unaambiwa ili urud katika hali yako ya kawaida lazima utoe hizi na uweke mpya lkn wewe ukatoa moja na ikabaki moja ili isaidiane na hii mpya unategemea kupata nn? Jibu utakalokuwa nalo ndilo hilo linareflect matokeo ya kuongezea oil badala ya kumwaga na kuweka mpya
NIME KUELEWA