ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Ha ha haHeading unasema ni gari mpya ila kwenye maelezo naona ni used car, hivi watanzania tuna matatizo gani?
Pili JF hatuna mambo ya DM huku kuna PM, huu ujinga wa DM muishie nao hukohuko kwenye kuchambana Insta.
Ushawahi kutumia xtrail? Nini kilikusumbua ambacho hakikua na solution?Hizi gari ni ugonjwa wa moyo, asipokuwa makini atakuja kuuza kwa 7m
Kuna mpemba ntakuunganisha nae utapata tu buremm naihitaji ila sina pesa..
Kwa kawaida gari used huwa tunaziita mpya zikiwa used in Japan. Kama imetumika locally kwa miezi mitatu haina tofauti sana na used in Japan zote ni mpya tu.Heading unasema ni gari mpya ila kwenye maelezo naona ni used car, hivi watanzania tuna matatizo gani?
Pili JF hatuna mambo ya DM huku kuna PM, huu ujinga wa DM muishie nao hukohuko kwenye kuchambana Insta.
Naomba nikueleweshe kidogo..sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
Akikujib nitagNaomba nikueleweshe kidogo..
1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.
2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.
3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.
Suala la kujua, hizo zina tofauti ipiNaomba nikueleweshe kidogo..
1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.
2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.
3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.
Same engine different bodies. Kama Harrier, Rav 4, Vanguard zote zina engine moja 2AZ lakini body ziko tofauti na bei tofauti. Nenda mtandaoni ucheki au tumia picha nloweka mie na huyo bwana hapo juuSuala la kujua, hizo zina tofauti ipi
Axis ni wafanya modification wa gari za nissan, kwenye xtrail ya mleta mada wameongezea hizo grill za mbele na kuibadilisha muonekano wa mbele wa gariSuala la kujua, hizo zina tofauti ipi
Hawa ndo wanadanganya watu kuagiza gari rahisi kwa kuangalia FOB na kodi kwenye mtandao wa TRA kisha magari yanaishia kuoza bandariniAkikujib nitag
Nyuma pia bampa na taa za nyuma ziko tofauti.Axis ni wafanya modification wa gari za nissan, kwenye xtrail ya mleta mada wameongezea hizo grill za mbele na kuibadilisha muonekano wa mbele wa gari
Gari za Nissan hazijawahi kuwa na bei sanaDuuh sio kwa kudadavua huku kumbe gari hizi Nissan xtrail zimeshuka Bei hivi