Nissan X-Trail mpya

Nissan X-Trail mpya

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari. Jamaa yangu anauza Nissan Xtrail kaisajili mwezi November last year. Haina shida yoyote kama uko interested njoo DM nikupe contact zake

Features
2003 make
Axis Model
Locally used 3months
Engine: 2000cc
Mileage: 75,500km
Silver color
Xenon head & fog lights
Fully serviced (incl. replaced plugs & air/oil/ac filters)
Price: 14.5m
(negotiable)
00115e22a53ea2fe66d25d4ca382f8cc.jpg
d202d3664e1c0c6fb2bda356f362a920.jpg
11c15885c08b84a75c9078ab2828874b.jpg
3c6614b2d443ff11339ea0175ff2d25b.jpg
6bc97a442aca09cd4f62125c4a295aa6.jpg
 
sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
 
Attachments

  • 1517722342129.png
    1517722342129.png
    99.5 KB · Views: 141
Heading unasema ni gari mpya ila kwenye maelezo naona ni used car, hivi watanzania tuna matatizo gani?

Pili JF hatuna mambo ya DM huku kuna PM, huu ujinga wa DM muishie nao hukohuko kwenye kuchambana Insta.
 
Ha ha ha
 
Hizi gari ni ugonjwa wa moyo, asipokuwa makini atakuja kuuza kwa 7m
 
Heading unasema ni gari mpya ila kwenye maelezo naona ni used car, hivi watanzania tuna matatizo gani?

Pili JF hatuna mambo ya DM huku kuna PM, huu ujinga wa DM muishie nao hukohuko kwenye kuchambana Insta.
Kwa kawaida gari used huwa tunaziita mpya zikiwa used in Japan. Kama imetumika locally kwa miezi mitatu haina tofauti sana na used in Japan zote ni mpya tu.

Suala la DM na PM najua nenda kaangalie nimeanza kuwa member humu toka lini utajua hilo
 
sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
Naomba nikueleweshe kidogo..

1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.

2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.

3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.
 
Akikujib nitag
 
Suala la kujua, hizo zina tofauti ipi
 
Suala la kujua, hizo zina tofauti ipi
Axis ni wafanya modification wa gari za nissan, kwenye xtrail ya mleta mada wameongezea hizo grill za mbele na kuibadilisha muonekano wa mbele wa gari
 
Nyuma pia bampa na taa za nyuma ziko tofauti.
 
Duuh sio kwa kudadavua huku kumbe gari hizi Nissan xtrail zimeshuka Bei hivi
 
Back
Top Bottom