Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
Nina rafiki yangu nikiwa huko bongo aliwahi kuipaki hiyo gari mwaka mzima kwakuwa Control box ilikufa, hata sijui amefikia wapi, kikubwa ni kwamba spareparts availability ya hiyo gari ndio issue kwa hiyo mzee kama ni gari yako ya kwanza, mmh...fikiria mara mbili, lakini kam vijisenti vimekutembelea na una uhakika vitaendelea kukutembelea, aaah, kula kitu roho inapenda. Ni hayo tu mkuu Gamaha.
Kwa 12M anunue gari gani nzuri ambayo haitakuwa na matatizo.