Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
Nina rafiki yangu nikiwa huko bongo aliwahi kuipaki hiyo gari mwaka mzima kwakuwa Control box ilikufa, hata sijui amefikia wapi, kikubwa ni kwamba spareparts availability ya hiyo gari ndio issue kwa hiyo mzee kama ni gari yako ya kwanza, mmh...fikiria mara mbili, lakini kam vijisenti vimekutembelea na una uhakika vitaendelea kukutembelea, aaah, kula kitu roho inapenda. Ni hayo tu mkuu Gamaha.
he he nimegundua mkuu kumbe ni pressure loh sijui physikia ilipotelea wapi any way niambie basi angalau kasababu why nife na force over area
Waungwana heshima mbele kwa wote, Jamani mwenzenu nimepata vihela kidogo nataka kuagiza gari angalau ninayo ipenda, napenda sana nissan x trail lkn sijui kuhusu hizi gari je zina matatizo gani sugu, vipi upatikanaji wa spare parts na gharama za spare parts muungwana yeyote kama anajua hizi gari pls naomba nijue ili nisiingie mkenge, pesa yenyewe nimepata kwa manati sana loh.
Jamani kwani Trekta ni gari?Ipi Xtrail au trekta?
Mkubwa mimi sina experience na x-trial, lakini ningekushauri kabla huja agiza huo mchuma, ungeangalia altenatives nyingine kama LAND ROVER FREELANDER 2, au hata model ya zamani, hii ni cheap, spacious and fuel efficient if compared to Nissan x-trail,especially if u r buying a used car from UK.
Nimtizamo tu kaka, all the best for ur dream car!
Loh ndio lol au nikitu ingine?.... just curious..
hata ukitaka mpya zipo zinapatikana! ni pesa yako tu! bongo sisi ni jalala la kutupia 'mikweche'Mie kila nikiicheck hii gari huwa naona kama vile inaendeshwa kwa "remote", manake walivyoweka hiyo dashbord utadhani iliwa stragegically ili iweze kupokea mionzi vyema bila kujali kuwa umekaa siti ya nyuma au ya mbele.
Ila model mpya sasa dashbord imekaa poa, taabu ni kama ujuavyo tena tunajinafasi kwa used tu!
LOL ni LAUGH OUT LOUD!!! Yaani ni kama mtu anayecheka kwa nguvu....
Waungwana heshima mbele kwa wote, Jamani mwenzenu nimepata vihela kidogo nataka kuagiza gari angalau ninayo ipenda, napenda sana nissan x trail lkn sijui kuhusu hizi gari je zina matatizo gani sugu, vipi upatikanaji wa spare parts na gharama za spare parts muungwana yeyote kama anajua hizi gari pls naomba nijue ili nisiingie mkenge, pesa yenyewe nimepata kwa manati sana loh.
Nunua 'Kabajaji', kwa Bongo na hiyo foleni itakusaidia sana. (Joke)
Siyo mzuri sana katika anga hii (Magari), japo ningekushauri ununue Toyota's (Prado, FJ Crusser, Rav4, Sequoia etc etc). Reason behind ni fuel consumption na spare parts. Halafu kwa Bongo hata Gereji bubu zinatengenezeka.
Nissan ni gari nzuri na expensive in almost kila idara kuanzia fuel consuption, spare parts etc etc. sasa kama hela yako ya manani nafikiri Nissan itakusumbua.
Good luck.