Pole sana, watakuja soon wenye ujuvi na hizi gari.
Aidha, kama sikosei ulifanya chaguzi ya kluger (niliwahi kuona uzi wako) ila baadae ukaja kubadilisha nadhani.
Kulingana na namna ulivyokua ukielezea hapo awali, seems like hii gari bado mpya hapa nchini sidhani kama ina miezi hata 6.
Naomba niwakumbushe kwamba, usipokua na weledi wa kutosha kwenye masuala ya uagizaji wa magari, baadhi ya makampuni huko japan, hua wanaweza kukubambikia hata gari ambalo halina ubora wa uhakika.
I am very sure that, gari yako waliiegesha tu ilimradi ifike.
Again, pole kwa changamoto.