Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine Stall inaweza kusababishwa na vitu vingi. Vingine ni vya engine vingine ni vya Transmission.Nilikuwa naendesha kila mara inafika stage gari inadecelerates na kuzimika , ukiwasha inawaka unakimbia kidogo inazimika, nimefanya hivo mara nyingi mpaka nikafika safari ya km 45, fuel ilikuwa subtank je shida inaweza kuwa nini?
Intank electric fuel pump ya Nissan nyingi hicho kikisumbua kinashindwa kupandisha mafuta kutoka kwenye tank na kinatumia umeme huku hata akiuzwi bei na karibu Nissan nyingi zinaingiliana sema bongo hawachelewi kufungua engine na kucheki plug sijui Celinder Head...ila anza kwa kupima lakini ni mfumo wa pump ya mafuta kutoka kwenye tank.
Kuna muda hiyo pump ikiweza kusukuma mafuta mengi gari inakua na nguvu na baadae inapungua au kuzima kabisa kutokana na kukosa msukumo wa mafuta hapa Jhb hata nusu saa kubwa unaondoka na gari yako...inatolewa seat za abiria ndio kilipo hicho kifaa juu ya tank nyingi zinakua chafu au kimekufa ukiweka kipya utasahau...