Nissan X-Trail

Habari wadau, nina Nissan xtrail ya mwaka 2008. Ikifika speed kati ya 40 na 60 gari inavuma sana na kuanza kutetemeka. Ila nikivuka hadi 80 mvumo unapungua kidogo. Je tatizo laweza kuwa nini?
tafuta fundi mzuri aangalie....injini mounts na gear box mounts, pia aangalie wheel bearings kama zimechoka huwa zinasababisha mvumo fulani na kama zimechoka sana gari hutetemeka....pia aangalie matairi yako kama yamevimba au huenda yanahitaji wheel balancing...
Mwisho jiridhishe kuwa injini haina misfire..

Japo swali lako halijashiba...hujaeleza mvumo unatoka kwenye injini au kwenye matairi
 

Asante Boeing 747,

Gari nimepeleka kwa fundi juzi na jana. wheel bearings ziko vizuri, sina hakika kama walingalia engine and gear box mounts. Pia tairi za gari zote hazijavimba. ila leo nitapelela kwa ajili ya wheel balancing. nitaleta mrejesho.
 
Ok...ila pia usisahau kuangalia Mounts za engine na gea box, pia angalia kama kuna miss fire....kama kuna cylinder haichomi gari hutetemeka ukiwa speed ndogo..ila kuanzia 70 hivi linatulia
Asante Boeing 747,

Gari nimepeleka kwa fundi juzi na jana. wheel bearings ziko vizuri, sina hakika kama walingalia engine and gear box mounts. Pia tairi za gari zote hazijavimba. ila leo nitapelela kwa ajili ya wheel balancing. nitaleta mrejesho.
 
Heshima kwenu wakuu? Nina uhitaji wa Nissan xtrail iliyotumika hapa Tanzania yenye hali nzuri na ubora. Kama unayo nicheki pm tuyajenge. Ikiwa toleo la mwaka 2005, iwe 4wd, na rangi ya silver itapendeza zaidi.
NB: Ningependa kuipata kwa mmiliki mwenyewe kwani bajeti imebana kiasi haiitaji dalali.
 
Weka namba ya hilo group LA watsaap mkuu.
 
hii ni nzuri but reviews toka kwa mtu ambaye ashaitumia kwa mazingira ya Tz ni nzuri zaidi
 
hii ni nzuri but reviews toka kwa mtu ambaye ashaitumia kwa mazingira ya Tz ni nzuri zaidi
X trail ni watu wqnaziponda bure....ukifuata masharti yake unapeta sana....na kwenye tope hizo rav 4 zinachuchumaa
 
Mkuu, hivi recommended coolant kwa xtrail petrol engine hizi za 2001 hadi 2007 ni ipi?
 
Ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…