Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
jiandae kushusha engine, gari umiza kichwa hizo
Nissan sio umiza kichwa kama watu wanavyofikiria ni gari bora kuliko Toyota kwanza ukiwa nalo ni mkataba ila sasa shida yake ni kuwa haitaki magumashi
kwa maana wakati wa service peleka service
hydroric usiweke ya kuunga unga weka genuine kuna watu wananunua oil lita 5 tsh 15,000 wanaweka kwene magari yao ... kwanini magari yasife??
Jombaa Nissan Xtrail na Mitsubishi Pajero hzo ndio zinaongoza kwa Injin zao ku knock na kufa hata ukafanye Services Japan na uweke Oil ya mil 1.Nissan sio umiza kichwa kama watu wanavyofikiria ni gari bora kuliko Toyota kwanza ukiwa nalo ni mkataba ila sasa shida yake ni kuwa haitaki magumashi
kwa maana wakati wa service peleka service
hydroric usiweke ya kuunga unga weka genuine kuna watu wananunua oil lita 5 tsh 15,000 wanaweka kwene magari yao ... kwanini magari yasife??
Gearbox hio ishushwe...huenda ikawa solenoid ama electronics hapo zinasumbuagaMkuu mpaka hapo unanipa mwanga, mi hii gari tangu nimeagiza nimefanya service 3 tu, na ninazingatia service kwa wakati ila hili tatizo limejitokeza sijaelewa ni nini? Na nimemwaga oil ya gearbox nikaweka nyingine lakini bado
Mkuu mpaka hapo unanipa mwanga, mi hii gari tangu nimeagiza nimefanya service 3 tu, na ninazingatia service kwa wakati ila hili tatizo limejitokeza sijaelewa ni nini? Na nimemwaga oil ya gearbox nikaweka nyingine lakini bado
sure mkuu. gari lina shida kama mchepuko wa kiarabu maana mizinga kila kukicha.Ukitaka kuwa fundi magari mzuri na kwa haraka, miliki xtrail.
Gari lakini kama nguoNissan sio umiza kichwa kama watu wanavyofikiria ni gari bora kuliko Toyota kwanza ukiwa nalo ni mkataba ila sasa shida yake ni kuwa haitaki magumashi
kwa maana wakati wa service peleka service
hydroric usiweke ya kuunga unga weka genuine kuna watu wananunua oil lita 5 tsh 15,000 wanaweka kwene magari yao ... kwanini magari yasife??
Vp nissan juke?Jombaa Nissan Xtrail na Mitsubishi Pajero hzo ndio zinaongoza kwa Injin zao ku knock na kufa hata ukafanye Services Japan na uweke Oil ya mil 1.
Halaf sas kaangalie kitu kama BMW, MERCEDES BENZ na GMC ni gari ambazo haziaribik mara kwa mara na vipuri vyake adimu ila ukipata kipuri bas jua ndo Mkataba huo hazifi Injin wala haziugui maradhi ya GearBox