Nissan XTrail hii ina tatizo gani?

Nissan XTrail hii ina tatizo gani?

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
995
Reaction score
1,067
Wakuu habarini

Wajuzi na wataalamu wa hizi gari naomba kujua tatizo la hii gari yangu yaweza huwa nini? Huwa inajiweka free yenyewe ikiwa kwenye mwendo, inakuwa kama inasleep na wakati huo ipo kwenye D. Na nilichojaribu kwa utundu nimejaribu kuiweka N ikiwa kwenye mwendo nikaizima na kuiwasha juu kwa juu kurudisha D inakubali kupokea mwendo, msaada wakuu
 
jiandae kushusha engine, gari umiza kichwa hizo

Nissan sio umiza kichwa kama watu wanavyofikiria ni gari bora kuliko Toyota kwanza ukiwa nalo ni mkataba ila sasa shida yake ni kuwa haitaki magumashi

kwa maana wakati wa service peleka service
hydroric usiweke ya kuunga unga weka genuine kuna watu wananunua oil lita 5 tsh 15,000 wanaweka kwene magari yao ... kwanini magari yasife?
?
 
Mkuu mpaka hapo unanipa mwanga, mi hii gari tangu nimeagiza nimefanya service 3 tu, na ninazingatia service kwa wakati ila hili tatizo limejitokeza sijaelewa ni nini? Na nimemwaga oil ya gearbox nikaweka nyingine lakini bado
 
Jombaa Nissan Xtrail na Mitsubishi Pajero hzo ndio zinaongoza kwa Injin zao ku knock na kufa hata ukafanye Services Japan na uweke Oil ya mil 1.
Halaf sas kaangalie kitu kama BMW, MERCEDES BENZ na GMC ni gari ambazo haziaribik mara kwa mara na vipuri vyake adimu ila ukipata kipuri bas jua ndo Mkataba huo hazifi Injin wala haziugui maradhi ya GearBox
 
Vipi bro
Tatizo lako lipo kwenye transmission au gearbox. La kwanza ni service yake ili tuweze kuidadisi (diagnose) vizuri. Kama haijawahii guswa gearbox usiwe na hofu yatatatulika. Nimewahii pata wengi katika hali hii na tukayaweza.
 
Kabla ya yote tafuta fundi umeme akufanyie diagnose .ukija jua tatizo utaambiwa kinachofuata.ni shs 50000 tu hiyo diagnose na dk 10 mpaka30 utakuwa na jibu.Wengi wanafanya makosa kukimbilia kuchokoza engine au gear box.Asikudanganye mtu Nissan ni gari la uhakika .ilimradi ufanye service na ureplace spare original .Nissan spare fake NO.
 
Mkuu mpaka hapo unanipa mwanga, mi hii gari tangu nimeagiza nimefanya service 3 tu, na ninazingatia service kwa wakati ila hili tatizo limejitokeza sijaelewa ni nini? Na nimemwaga oil ya gearbox nikaweka nyingine lakini bado
Gearbox hio ishushwe...huenda ikawa solenoid ama electronics hapo zinasumbuaga
 
Mkuu mpaka hapo unanipa mwanga, mi hii gari tangu nimeagiza nimefanya service 3 tu, na ninazingatia service kwa wakati ila hili tatizo limejitokeza sijaelewa ni nini? Na nimemwaga oil ya gearbox nikaweka nyingine lakini bado

Sijui kwanini mara nyingi nimesikia watu wengi wakilalamika magari yao kuanza kusumbua gearbox gear kutokuingia mara kuteleza mara baada ya kubadili Gearbox hydraulic fluid. Inapidi watu wawe makini sana kwenye kipengele hicho.
 
Nissan sio umiza kichwa kama watu wanavyofikiria ni gari bora kuliko Toyota kwanza ukiwa nalo ni mkataba ila sasa shida yake ni kuwa haitaki magumashi

kwa maana wakati wa service peleka service
hydroric usiweke ya kuunga unga weka genuine kuna watu wananunua oil lita 5 tsh 15,000 wanaweka kwene magari yao ... kwanini magari yasife?
?
Gari lakini kama nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa Nissan Xtrail na Mitsubishi Pajero hzo ndio zinaongoza kwa Injin zao ku knock na kufa hata ukafanye Services Japan na uweke Oil ya mil 1.
Halaf sas kaangalie kitu kama BMW, MERCEDES BENZ na GMC ni gari ambazo haziaribik mara kwa mara na vipuri vyake adimu ila ukipata kipuri bas jua ndo Mkataba huo hazifi Injin wala haziugui maradhi ya GearBox
Vp nissan juke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom