Car4Sale Nissan Xtrail inauzwa

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
31,583
Reaction score
92,670
Make: nissan
Model:xtrail
Engine: yd22 common rail
Capacity: CC 2184
Fuel:diesel.
Price:10M
Transmission: manual(gear 7)
SPEED: 220 KM/HR
SABABU ZA KUUZA.
nimehamia shamba huku naona kama naitesa, nauza hii nisake gari nyingine ya shamba.

MAELEZO.
Gari ni nzima haina tabu, wese inanusa tu hapa dar dom huwa naweka mafuta ya laki na hayaishi yanabaki ya kupigia misele.
Ac ya kuganda.
Gari iko full tank ukiiwahi utapata na ofa ya wese,
Kuna engine niliichukua kwa jamaa kama ya ziada(nitolee spea siku za mbeleni) ukiwahi utaipata na hii, madubwasha ya chini sijui ma wishbone na mataka taka mengine yapo yoote ya miguu mi4(hivi utapewa pamoja na gari)

Kama tukifikia biashara na kuna upungufu upo mie nitamtengenezea gari.

Gari inakuwepo kigamboni mara moja moja na mkuranga
Twanga namba 0659445718.

 
Gari nzuri ina engine mbili sema tu sijui kuendesha manual.

Hiyo engine uliyoitoa kwa jamaa itoe kwenye maelezo.
 
Lakini Nissan XTRAIL shamba inaweza vizuri tu. Brother angu anaitumia sana kuingilia pori ila yenyewe ya Petrol.
Anaingilia mara moja moja!? Mie huku ndio nimehamia kabisa, so ni maisha ya kila siku chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…