BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Unaweza kunitumia picha inbox?Anaingilia mara moja moja!? Mie huku ndio nimehamia kabisa, so ni maisha ya kila siku chief.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kunitumia picha inbox?Anaingilia mara moja moja!? Mie huku ndio nimehamia kabisa, so ni maisha ya kila siku chief.
[emoji23][emoji23] Mimi mwanaume[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeniamulia halafu napenda gari kubwa kubwa basi tu uchumi hauruhusu.
Jipige kifuani sema mimi ni mwanaume.
Ile ya spare ishawahi kufunguliwa.Nimekuelewa mkuu, na vipi hiyo nyingine uliyoichukua kama spare ipo vipi?
Namba za simu zipo hapo unaweza ukanicheki mzee.Chukua 8.5 tuyajenge DM mkuu, Nataka niwe nazo 2
Hakuna tabu.Unaweza kunitumia picha inbox?