Nissan Xtrail na changamoto zake

Nissan Xtrail na changamoto zake

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Waheshimiwa wanajukwaa umofia kwenu.

Kwa heshima na taadhima ninaomba kufahamu changamoto zozote zinazohusu gari aina ya Nissan Xtrail? Mfumo wake wa umeme
Transmission ipoje
Anything pls

Natanguliza shukrani
20220920_125847.jpg
 
Waheshimiwa wanajukwaa umofia kwenu.

Kwa heshima na taadhima ninaomba kufahamu changamoto zozote zinazohusu gari aina ya Nissan Xtrail? Mfumo wake wa umeme
Transmission ipoje
Anything pls

Natanguliza shukraniView attachment 2362748
Kuna Mamia ya nyuzi kuhusu hizi gari huku na kila mmoja anashauri kaa nazo mbali, unaweza ukaanza kwa kusearch lakini pia wajuizi wanakuja wa IST tunakaa mbali.
 
Waheshimiwa wanajukwaa umofia kwenu.

Kwa heshima na taadhima ninaomba kufahamu changamoto zozote zinazohusu gari aina ya Nissan Xtrail? Mfumo wake wa umeme
Transmission ipoje
Anything pls

Natanguliza shukraniView attachment 2362748
Ni gari nzuri kama unaishi maeneo ya mjini, but spear zake bei imechangamka sana

Ni gari ambazo zinahitaji service ya uhakika na oil sahihi hazitaki mazoea......!! Ya ajabu ajabu

Ukiwa uko smart unazimudu bila shida ila kama kipato chako hakieleweki kama uchi wa bamedi kaa nayo mbali
 
uchi wa barmedi kheee
 
Uchi wa baamedi aisee dah
 
Matoleo ya sasa yaani kuanzia 3rd generation yako poa. Inataka utumie oil ya Nissan original, coolant utumie ya Nissan.

Fanya service kwa wakati yaani usitumie sana ukapitiliza miezi miingi karibu mwaka ndipo ufanye service. Uiendeshe kwa ustaarabu sio uipigize na kuikita kita maeneo yenye mashimo kwa fujo lama unaendesha trekta maana gari yoyote haitaki hizo fujo utaharibu parts zake muhimu especially miguu na itakugharimu katika kureplace.

Nje ya hapo hakuna shida. Ni gari nafuu kwa bei ya manunuzi, inadumu muda mrefu ukiipa matunzo. Inaogopwa sana na madereva au wamiliki wazembe wasioweza kutunza na kujali magari yao wanaoyaharibu kisha wanatoa visingizio chungu mzima.
 
Kamwe usiweke maji kama mbadala wa coolant. Tumia Coolant yenyewe, ukifuata hili huta kaa uskie inachemshaa.
 
Back
Top Bottom