Nissan Xtrail, Nissan Dualis na Mitsubish Outlander

Nissan Xtrail, Nissan Dualis na Mitsubish Outlander

Valuer Mollel

Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Wakuu Kwema,

Nataka Kununua Gari. Naombeni Ushauri Kati hizi Gari which is the best of all in term of Fuel Consumption, Durability as per our roads environment i.e Rough roads, and Price.?

NISSAN XTRAIL 2008, NISSAN DUALIS 2008 & MITSUBISH OUTLANDER 2006. Please Naombeni Ushauri Wenu Kati ya Hayo Magari Matatu, ipi iko Vizuri?

Asanteni Sana.
 
Nissan Xtrail ya huo mwaka ni Second generation T31 na Nissan Dualis ni gari moja maana Spare zote wanafungiana kuanzia Shock up mpaka bush, tofauti ya Dualis na Xtrail ni body tu, ila Mitsubishi Outlander upande wa Spare sio nyingi.

kwa hiyo Mitsubish Outlander itakusumbua maana Spare zake sio nyingi mpaka za kuagiza. Ila nakushauri uchukue Xtrail T31 ambayo ndani ina nafasi na ni kubwa kulinganisha na Dualis ingawa zote ni milango 5.
 
Vipi kuhusu FUEL CONSUMPTION hiyo Nissan Dualis
 
Back
Top Bottom