Nissan Y60

Nissan Y60

Kwa nini nissan civilian zikiwa na hii injini huwa zinachemsha zikipiga route ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz?

Service. Haijanipa shida hiyo, safari ndefu kama kawaida
 
Service mbovu, Nissan anapiga route ndefu bila shida. Saizi Nissan Civilian W41 zinakuja na engine aina 3, Zd30 kwa short base body, Td42 na 4M51 kwa long base body.

4M51 ya mitsubishi saizi inafungwa kwenye Nissan Civilian W41 kutoka kiwandani moja kwa moja.Hii inapambana kwa nguvu na mwendo na engine ya 1hd -fte
Hapana 4m51 size yake ni No4c zote ni 180hp ila 1hd-fte ni balaa ina 200+hp
 
1hd fte hafiki 200hp ni 167hp.

4m51 inamsimbua vizuri 1hd fte, kitu cha kipekee kwa 1hd fte milimani haisinzii hata kidogo
The version with intercooler as fitted to HDJ100 station wagons has 202 hp (151 kW; 205 PS)

Also some of the HDB50 and HDB51 COASTER are fitted with this 1HD-FTE engine.Kwa hiyo zile zenye gia 6 ndizo zenye 200+hp pia pump yake si ya cable kama nyingine ni ya umeme.
 
Back
Top Bottom