Mmmh..its not rule of thumb..inategemea mambo mengi cha kwanza kabisa umri mtu wa zaid ya miaka 30 anaweaza kukaa zaidi ya miezi 24 lkn mf mtu wa miaka 25 anaweza kukaa miezi 9 tu..ukiweka na other conditions ziwe sawapole mpendwa!,inashauriwa ipite miaka mitatu....
Kwa miaka 25 na kwa hiyo sababu ya kuwa na big baby unaweza kukaa miezi 6 mpk 9..kwa kuwa pia hunyonyeshi..lkn kwa nini mtoto alifafiki..? Ulikuwa na prolonged labor( muda wa kukaa labour ulikua mrefu sana zaidi ya masaa 18).?ahsanteni, umri wangu ni miaka 25 na ilibidi kufanyiwa operation baada ya mtoto kuonekana mkubwa na njia kutofunguka vizuri.
ndio nilikaa zaidi ya masaa hayo nikiwa hospital hadi mtoto akaacha kucheza ndipo nilipopelekwa ultra sound wakasema amefia tumboniKwa miaka 25 na kwa hiyo sababu ya kuwa na big baby unaweza kukaa miezi 6 mpk 9..kwa kuwa pia hunyonyeshi..lkn kwa nini mtoto alifafiki..? Ulikuwa na prolonged labor( muda wa kukaa labour ulikua mrefu sana zaidi ya masaa 18).?
ahsante, ila kuna umuhimu wowote wa kuonana na dr huyo huyo? maana to be honest i dont want to set my foot in that hospital again.Pole sana, kaongee na daktari aliyekufanyia C-section, ila ni vizuri kusubiri kwa miezi sita lakini muone Dr kwa ushauri wa kitaalam.
ahsante, ila kuna umuhimu wowote wa kuonana na dr huyo huyo? maana to be honest i dont want to set my foot in that hospital again.
Pole sana...kama ilikua hivyo unaweza kukaa kati ya miezi 18 mpk 23..ni lkn ni vzr ukipata nafasi uende hospitali zinazoeleweka kwa clinical assessment zaid...daktari ataangalia aina ya mshono..na afya yako kwa ujumla...lakini km ulikaa zaidi ya massa 18 na mtoto akafia tumboni muda sahihi ndo huo.. na kwa kuwa bado una umri mdogo ingekuwa unakimbilia 30 ingekuwa shida .pole sana mamyndio nilikaa zaidi ya masaa hayo nikiwa hospital hadi mtoto akaacha kucheza ndipo nilipopelekwa ultra sound wakasema amefia tumboni
nashukuru kwa ushauriKwa miaka 25 na kwa hiyo sababu ya kuwa na big baby unaweza kukaa miezi 6 mpk 9..kwa kuwa pia hunyonyeshi..lkn kwa nini mtoto alifafiki..? Ulikuwa na prolonged labor( muda wa kukaa labour ulikua mrefu sana zaidi ya masaa 18).?