Kuuliza c ujinga...Hivi hizo Admission letter tunachukua hiyo tarehe 10 november baada ya kufungua chuo au B4 Mda huo? kama ni B4 ni siku gani au hata leo nikienda watanipa?Siku hizi tunasoma kwa shift kama Mzumbe.Wanafunzi wa certificate wanasoma hadi hyo mwezi wa 11 ndipo wanamaliza semister yao halafu ss wa degree na diploma tunaingia huo wa 11
Kuuliza c ujinga...Hivi hizo Admission letter tunachukua hiyo tarehe 10 november baada ya kufungua chuo au B4 Mda huo? kama ni B4 ni siku gani au hata leo nikienda watanipa?
mwenye uelewa juu ya hili naomba anisaidie please
jaman mbona majna mengine hayapo na tcu wameonesha tumechaguliwa nit apo inakuaje
jaman mbona majna mengine hayapo na tcu wameonesha tumechaguliwa nit apo inakuaje
mbona mm cjaona ww umeona rukia nani??