NIT majina ya first Batch kwa bachelor degree haya hapa

Duuh hadi November
Siku hizi tunasoma kwa shift kama Mzumbe.Wanafunzi wa certificate wanasoma hadi hyo mwezi wa 11 ndipo wanamaliza semister yao halafu ss wa degree na diploma tunaingia huo wa 11
 
Kuuliza c ujinga...Hivi hizo Admission letter tunachukua hiyo tarehe 10 november baada ya kufungua chuo au B4 Mda huo? kama ni B4 ni siku gani au hata leo nikienda watanipa?
mwenye uelewa juu ya hili naomba anisaidie please
 
Ni vema kuchukua mapema kabla ya huo mda ili kuepuka usumbufu baadae
 
jaman mbona majna mengine hayapo na tcu wameonesha tumechaguliwa nit apo inakuaje
 
au wameandika jina moja tu or vp maana ayo majinayenyewe utata me celew naomba unifahamishe kama wameandka jna moja tu o vp
 
Back
Top Bottom