kwa taarifa za uhakika nilizozipata jana ni kwamba interview walishafanya siku nyingi sana na hawakuita mtu yeyote aliyeomba wasiyemjua(wameita watu wao wa mle mle ndani) na kilichotokea utumishi wamewaagiza tangazo lazima lipitie kwao coz awali walipolitoa halikupitia kwao.kwa maana hiyo hata hao walioitwa kwenye interview hawajaanza kazi mpaka sasa.kwa hiyo endelea kumwomba Mungu watoe tangazo lingine litakalopita utumishi.binafsi sijaelewa mpaka sasa kwa nini vyuo vingine vya serikali matangazo yake ya kazi hayapiti utumishi,huku vyuo vingine vikitangaza pasipo kupitia utumishi wanakataliwa.