Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations, akili ya kuzaliawa na commom sense.
Straight to the title uki-reply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi.
Tukianza na hapa,
Kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi, basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati JF, ungekuwa bize na mabiashara yako.
Social network ambayo ungetumia ni WhatsApp Business na Instagram kwa ajili ya matangazo.
Therefore nishajua haufikishi million 2.
Reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.