Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations, akili ya kuzaliawa na commom sense.

Straight to the title uki-reply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi.

Tukianza na hapa,

Kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi, basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati JF, ungekuwa bize na mabiashara yako.

Social network ambayo ungetumia ni WhatsApp Business na Instagram kwa ajili ya matangazo.

Therefore nishajua haufikishi million 2.
Reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
 
Mtemi mpambalioto,

Kwa haraka haraka wewe ni mfanyakazi na utakuwa unafanya zile 9 to 5 yaani masaa 9 siku tano za wiki
Saa 2 mpaka sa 11, upo job.

Na utakuwa unakaa mbali na kazini kama Town mpaka Kimara au Mbezi hivi hivyo inabidi kila siku sa11 upo macho na kupigania mwendokasi.

Mshahara wa kumhangaisha hivyo mtu hauwezi kuwa mkubwa kwani ungelipwa milion 2 either ungenunua gari au ungetafuta nyumba karibu na town au ungeacha kazi kabisa na kupiga biashara.

Hivyo, nadiriki kusema haufikishi 1M lakini pia hauna kipato kidogo sana unacho kipato kile cha kuendelea kukufanya upigane na daladala kila siku hivyo itakuwa laki 5-8 hivi.
 
Back
Top Bottom