Sema Su....
Hamna mtu bahili wa kila kitu. Lazma kuna sehemu mbili tatu ambazo ana matumizi makubwa ya fedha. Wengine nguo, matunzo, magari, nyumba, wengine wanapenda kuingiza pesa kwenye mzunguko irudishe nyingine mbele.wachaga ndo maana matajiri.
siri ya utajir ni ubahili
Bahili ni nani?usipokua bahili ufanikiwi
Mkuu tayari tunataarifa za social media zako.Utaishia kupata jina tu ndugu...!!hiyo akaunt ipo third-party protected
Ubahili na uchoyo ni kitu kimoja ?wachaga ndo maana matajiri.
siri ya utajir ni ubahili
ubahili ni kutokufuja pesa.Ubahili na uchoyo ni kitu kimoja ?
Pitia tena maana ya uchoyoubahili ni kutokufuja pesa.
uchoyo ni kunyima kabisa
Huyu ni raia mwema usimpe pressure.mkuu tayari tunataarifa za social media zako.
mkuu tayari tunataarifa za social media zako.
Alichomaanisha yeye sio taarifa zako za benki ila amekuonya kwamba iwapo siku wataamua kukufuatilia humu Jf watu wasiojulikana watakupata kiurahisi sana..Utaishia kupata jina tu ndugu...!!hiyo akaunt ipo third-party protected
πππππHivyo nadiriki kusema haufikishi 1M lakini pia hauna kipato kidogo sana unacho kipato kile cha kuendelea kukufanya upigane na daladala kila siku hivyo itakuwa laki 5-8 hivi