Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

wachaga ndo maana matajiri.
siri ya utajir ni ubahili
Hamna mtu bahili wa kila kitu. Lazma kuna sehemu mbili tatu ambazo ana matumizi makubwa ya fedha. Wengine nguo, matunzo, magari, nyumba, wengine wanapenda kuingiza pesa kwenye mzunguko irudishe nyingine mbele.

Ubahiri hauleti utajiri kwasababu bahili hatazungusha pesa.
 
Back
Top Bottom