Mimi jeSina muda huo
Au michango yako imetaja kipato chako?
Give my soft A+
Kwanza,naomba uniambie unabii ni nini na unapatikana vipi na unajuaje kama wewe ni nabii ?Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense
Straight to the title ukireply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi
Tukianza na hapa
kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi,basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati jf ungekuwa bize na mabiashara yako
Social network ambayo ungetumia ni whatsapp business na instagram kwa ajili ya matangazo..
Therefore nishajua haufikishi million 2 ,,
reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
Hivyo bitu asilimia kubwa ya watu tuliopo mtaani ambao hatuja ajiriwa tunavipenda tu mkuu afu unaweza ukajua hvyo kwa kupitia threads zangu ukagundua mi ni mtu wa aina gani hahahahaahahKwahiyo jina lako tu limeniambia yote hayo??mafundi wapo wengi kuna fundi simu hadi fundi vitandani ningejuaje we eneo lako la kazi mda mwingi ni majumbani?au unapenda wanawake na miziki na kubeti?
Skia mimi kazi yangu ya kuguess kipato chako nimemaliza hayo mengne ya ushaur na nin na njia gan nmekuachia weweHivyo bitu asilimia kubwa ya watu tuliopo mtaani ambao hatuja ajiriwa tunavipenda tu mkuu afu unaweza ukajua hvyo kwa kupitia threads zangu ukagundua mi ni mtu wa aina gani hahahahaahah
Umenifata hadi huku
Mimi kazi yangu ni kuguess kipato hayo madefinition ya unabii na nini nimekuachia wewe
ila tofaut ya kina nabii suleyman na mimi wale ni story za mtume inawezekana hata hawakuwa watu halisi na ilisemekana wanapata ujuzi kutokea supernatural powers mimi nipo alive na mtu halisi nachat hapa na nmesema natumia logical deductions from comparative observation.
Haaaaa haaaaa Nimecheka kumbe anauza nyanyaWewe uza nyanya tu mambo mengine na utajiri tuachie sisi
We jamaa huna unalojua, sema sasaMimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense