Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

Kwenye mahela yao naona wanaomba watabiriwe, majobless tunachungulia kwa mbaaali. Ok tabiri hapa kwa Master plan maana hapa nilipo nakung'utwa na Barida tu.
 
Mtoa mada ana kila dalili ya kujizolea umaarufu km Kiduku Lilo...
Sio kwa tambo hizi...
Half ana dharau kinyama....
Mi nacheke tu hizo tabr zake.....
Hakuna ya kitajiri hata mojaa....
Melo kua makini, atakutabiria njaa huyu...
Huyu atatabilia watu vifo humu....
 
ukiona ka mshahara kako ni kadogo.....
Mfuate tu PM, utadharirika humu...
Huyu jamaa anaongea point tupu.....
 
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense
Straight to the title ukireply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi
Tukianza na hapa
kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi,basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati jf ungekuwa bize na mabiashara yako
Social network ambayo ungetumia ni whatsapp business na instagram kwa ajili ya matangazo..
Therefore nishajua haufikishi million 2 ,,
reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
Kwanza,naomba uniambie unabii ni nini na unapatikana vipi na unajuaje kama wewe ni nabii ?

Kuna tofauti gani kati ya nabii wewe na manabii wa kale wabora na watukufu kama nabii Suleyman,Ayoub,Yakub,Musa na wengine ?

Kisha sasa ndio nikupe kazi unayojinadi kwayo.
 
Kwahiyo jina lako tu limeniambia yote hayo??mafundi wapo wengi kuna fundi simu hadi fundi vitandani ningejuaje we eneo lako la kazi mda mwingi ni majumbani?au unapenda wanawake na miziki na kubeti?
Hivyo bitu asilimia kubwa ya watu tuliopo mtaani ambao hatuja ajiriwa tunavipenda tu mkuu afu unaweza ukajua hvyo kwa kupitia threads zangu ukagundua mi ni mtu wa aina gani hahahahaahah
 
Hivyo bitu asilimia kubwa ya watu tuliopo mtaani ambao hatuja ajiriwa tunavipenda tu mkuu afu unaweza ukajua hvyo kwa kupitia threads zangu ukagundua mi ni mtu wa aina gani hahahahaahah
Skia mimi kazi yangu ya kuguess kipato chako nimemaliza hayo mengne ya ushaur na nin na njia gan nmekuachia wewe
 
Zurri, ]Umenifata hadi huku
Mimi kazi yangu ni kuguess kipato hayo madefinition ya unabii na nini nimekuachia wewe
ila tofaut ya kina nabii suleyman na mimi wale ni story za mtume inawezekana hata hawakuwa watu halisi na ilisemekana wanapata ujuzi kutokea supernatural powers mimi nipo alive na mtu halisi nachat hapa na nmesema natumia logical deductions from comparative observation.
 
Tapeli kama matapeli wengine.

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Umenifata hadi huku
Mimi kazi yangu ni kuguess kipato hayo madefinition ya unabii na nini nimekuachia wewe
ila tofaut ya kina nabii suleyman na mimi wale ni story za mtume inawezekana hata hawakuwa watu halisi na ilisemekana wanapata ujuzi kutokea supernatural powers mimi nipo alive na mtu halisi nachat hapa na nmesema natumia logical deductions from comparative observation.

Jalia kamba hawakuishi ila hilo neno ndio limeanza kutumika kwa ajili yao. Kwahiyo ni lazima turejee kwao, kinyume na hapo wewe ndio muongo na mzushi.
 
[QUOTE="Chakwale,
Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo[/QUOTE]Wewe uza nyanya tu mambo mengine na utajiri tuachie sisi
 
Bado Sijaona hata mtu anaefika 1.5 M hapa
 
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense
Straight to the title ukireply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi
Tukianza na hapa

kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi,basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati jf ungekuwa bize na mabiashara yako
Social network ambayo ungetumia ni whatsapp business na instagram kwa ajili ya matangazo..

Therefore nishajua haufikishi million 2 ,,
reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
We jamaa huna unalojua, sema sasa
 
Back
Top Bottom