Nita-guess kipato chako

Samahani kiongozi naomba uniambie nikimaliza chuo itakuwaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Mimi nimecheka tu mkuu sina kingine
 
Sasa inamana mtu ukimtabiria na akakubishia kuwa hauko sahihi,??

Hapo inakuaje,maana sijaona hata mmoja ambaye umepatia hapo juu kwa maelezo ya walengwa wenyewe.

So wewe ni fake.
 
Huwezi kuwa na kipato kinachoeleweka kama una muda wa, kureply kila comments, we jamaa hata ajira huna, bado unaishi kwa wazazi.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.


Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa



Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.
 
Wife mwenyewe hajui exactly naingiza kiasi gani wewe ndio uje upatie? Acha kupoteza muda.

Pia kuna watu kuwa JF inawasaidia kupata pesa zaidi. Endelea kukariri hivyohivyo na kutabiria watu wakati wewe hali mbaya.
 
We, kipato chako cha kati, range 500000 hadi 800000, ingawa una mipango mingi mikubwa hadi inapekekea uwaze project za kuongeza kipato ila sio mtendaji, you take it easy, huna matumizi makubwa yani upo simple, labda ndio maana unachukulia simple project unazowaza, ni mpole sio mtu wa kujichanganya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…