Subiri kwanza ...we naona Aura yako inachanganya sanaMimi ni mtu wa hekaheka na kila mwezi napata kingine nje ya mshahara...naomba usinipe range nipe exact mwezi uliopita niliingiza shngap
Ukiweza we kaka sijui nitakupa nini
Mwenye JF na crew yake ya karibu ndo wanatengeneza hio na zaidi na hata wao hawachat humu ..wako bize wana monitor networkings tu
😂Subiri kwanza ...we naona Aura yako inachanganya sana
Nipe muda kidogo nitaleta mrejesho
Wewe dogo una take home 600k-900k
Ndiyo kwanza umeajiriwa kwahiyo safari bado ndefu
😂😂😂Umeshaambiwa per month yako na mkemia?
Mie nipo hapa nasubiri. Sitaki hsta kumpa moyo najua hawezi patia afuate wakubwa wake wote wanaojulikana na wasiojulikana hapatii.
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahariUmeshaambiwa per month yako na mkemia?
Mie nipo hapa nasubiri. Sitaki hsta kumpa moyo najua hawezi patia afuate wakubwa wake wote wanaojulikana na wasiojulikana hapatii.
Duh 😂😂Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho
Mmoja baada ya mwingineMimi ni mtu wa hekaheka na kila mwezi napata kingine nje ya mshahara...naomba usinipe range nipe exact mwezi uliopita niliingiza shngap
Ukiweza we kaka sijui nitakupa nini
Inatisha kimtindo eti kuna vitu vinazuiailianza simple eti
Vipi mimi hujanijibuilianza simple eti
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho
Ndio uuseme.Ukweli umekaribia kujulikana
We ni nouma, unataka uanze kazi soon, hahaha. daah.Mpaka Uzi uwe closed ni lini? Nataka nichukue points nipeleke kwenye maproject😊
Mmoja baada ya mwingine
Haya nimerudi
Wew mwezi uliopita uliingiza kiasi cha tsh 637,500/=
Usitumie posts zangu kufikia conclusion, utaingia chakaNgoja nizame chimbo tena, nilizama chimbo kwa ajili ya Depal, ngoja nizame sasa kwa ajili yako mkuu.