Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

Mimi ni mtu wa hekaheka na kila mwezi napata kingine nje ya mshahara...naomba usinipe range nipe exact mwezi uliopita niliingiza shngap
Ukiweza we kaka sijui nitakupa nini
Subiri kwanza ...we naona Aura yako inachanganya sana
Nipe muda kidogo nitaleta mrejesho
 
Mwenye JF na crew yake ya karibu ndo wanatengeneza hio na zaidi na hata wao hawachat humu ..wako bize wana monitor networkings tu

Sasa kwa kanuni yako ya hapo awali niambie kipato changu tusivute maneno mengi.
 
Umeshaambiwa per month yako na mkemia?

Mie nipo hapa nasubiri. Sitaki hsta kumpa moyo najua hawezi patia afuate wakubwa wake wote wanaojulikana na wasiojulikana hapatii.
 
Umeshaambiwa per month yako na mkemia?

Mie nipo hapa nasubiri. Sitaki hsta kumpa moyo najua hawezi patia afuate wakubwa wake wote wanaojulikana na wasiojulikana hapatii.
😂😂😂
Hata sijaambiwa emu muite anitajie

Mtoa mada twende hapa
 
Umeshaambiwa per month yako na mkemia?

Mie nipo hapa nasubiri. Sitaki hsta kumpa moyo najua hawezi patia afuate wakubwa wake wote wanaojulikana na wasiojulikana hapatii.
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho
 
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho

Hamna cha mtu wa karibu wala wa mbali. Hautapatia mkuu. Lakini sikuzuii kuendelea kujaribu. Kwa upande wangu naahidi kusema kweli endapo umekosea ntaweka wazi na endapo umepatia hali kadhalika ntasema.

Kila la kheri
 
Mimi ni mtu wa hekaheka na kila mwezi napata kingine nje ya mshahara...naomba usinipe range nipe exact mwezi uliopita niliingiza shngap
Ukiweza we kaka sijui nitakupa nini
Mmoja baada ya mwingine
Haya nimerudi
Wew mwezi uliopita uliingiza kiasi cha tsh 637,500/=
 
Nipe muda mkuu naona kuna kitu kinazuia nisikuone,,either mtu wako karibu,nyota yako milima au bahari
Kikitoka kuzuia nitaleta mrejesho

Mwamba bado unaona chenga chenga stesheni haikamati vizuri?
 
Back
Top Bottom