Nita-guess kipato chako

Mmoja baada ya mwingine
Haya nimerudi
Wew mwezi uliopita uliingiza kiasi cha tsh 637,500/=
Haaaaaaaaa!!!
Loooooh!!!
Yani hadi miatano??
Nimeshangaa sana kwasababu I keep track of what I earn
Kiukwel wew sijui unatumia mzizi gan
Umepatia Nakupa 99% kwasababu Mi Nilijua ipo around 620k-680k hivi
 
Duniani kuna mambo!! Hizo posts mwenyewe ndo naziona kwako
Jifunze kuwa watanzania ni adui wa ukweli hivo hamna atakaekubali
Nikimuambia teja humu una kipato cha 5milioni utaskia anajibu "Ewaaaa umenipatia kabisa kama ninavyopata kama size yangu kutoka Tigo"
Ok

Then vipi kuhusu mimi!Unanizungumziaje?nataka kujua kama hata utahisi tu,ninamiliki nini,kipato japo kwa siku ni kiasi gani?

By the way,sijasahau hapa ni chit chat vingi vinavyoandikwa hapa ni vya kubuni tu ila tuone unasemaje!
 
Mara anatoa kwenye post za mtu mara ID moja
Basi sasa nimeacha ,,kama yesu tu aliponya watu akatembea juu ya maji na miujiza kibao akafufuka lakini bado hawakukuamini mimi ni nani mpaka mniamini
 
Mara anatoa kwenye post za mtu mara ID moja
Basi sasa nimeacha ,,kama yesu tu aliponya watu akatembea juu ya maji na miujiza kibao akafufuka lakini bado hawakukuamini mimi ni nani mpaka mniamini
Pole, naona Hutaki kukosolewa
 
Pole, naona Hutaki kukosolewa
Hapo juu kuna post nimempa mtihani anitabirie mimi sina shaka saizi anapekua pekua kwenye profile yangu kujua aje na jibu gani.uzuri humu hatuandiki kuhusu vipato vyetu nipo namsubiri.

Ila hapa ni chit chat ni utani tu tusichukulie seriously sana
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Kizazi hiki kinapotea kwa kukosa imani
Nabii out

Nilikupa changamoto naona hadi tunaondoka mitamboni ubao hausomi kitu.
Mie tokea mwanzo nimekuruhusu kuniwekea hapa hapa hadharani na mimi ningeweka hapa hapa ili watu wasadiki kazi zako.

Sasa ukitolea mfano wa Yesu mbona wakati wengine hawakutaka kumwamini lakini kuna kundi lingine kubwa walisadiki habari zake? Iweje nabii awe mtu wa kuzira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…