Queen Latifah
Member
- Oct 20, 2019
- 29
- 61
Haaaaaaaaa!!!Mmoja baada ya mwingine
Haya nimerudi
Wew mwezi uliopita uliingiza kiasi cha tsh 637,500/=
Loooooh!!!
Yani hadi miatano??
Nimeshangaa sana kwasababu I keep track of what I earn
Kiukwel wew sijui unatumia mzizi gan
Umepatia Nakupa 99% kwasababu Mi Nilijua ipo around 620k-680k hivi