kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Am sure billion moja inatosha kabisa kufanya maajabu pale, kiwango ambacho hata halmashauri inakimuduWadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vikitengewa Bilioni miamoja tu (nusu ya bei ya terrible teen) vitafufuka na chenchi itabakiMoproco, magunia, celamic,ngozi,bora,carnivals, Moro ilikuwa mji wa viwanda kweli kweli.
Wadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenikumbusha mbali sana ile beef ilikuwa onakorofishwa na onions tu na mchicha pembeni those were the days[emoji3]tupo pamoja lkn urafiki sio kiwanda cha nguo mkuu[emoji3]
T,Packers hapo nasaport saaaana kwasbb mm nakumbuka miaka ya themanini hapo ktk akili ya foolish age[emoji3]naikumbuka saaana tulikua tukinunua nyama ya katka kopo Beef tin Food
Tunaifungua kama inaufunguo
Vile ile kopo aiseeee ilikua pyua beef bana made frm Tanganyika packers,
Pia na samaki Za kopo (SADINES)
navomjua magu na anauzoefu serikalini miaka 20 walai nauhakika hivi viwqnda vitaamka
Na SERIKALI ITAHAMIA DODOMA
Mark my Words
Very sad...your akili at his best....sooo kugawa chakula mashuleni ndio ufaulu?Maharage yenyewe tu nanga inapaa sembuse nyama, kwanza kiwanda cha nyama cha nini, mnacha kuongelea mambo makubwa mnaongelea nyama? Soko lenyewe liko wapi, au mnaonA ufahari moshi ukiwa unatoka kwenye bomba la moshi, kwanza wengine hatuli Nyama,tunataka barabara, maji, umeme, mahospitali, lishe mashuleni mwana watoto wengi wanafeli sababu ya lishe hakuna nyumbani hola shuleni hola, we unazani shuleni wangekuwa wanagawa pilau kufeli kungekuwepo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatofautiana hali mkuu. Kila mtu analia kile anachokitaka kwake, kama wewe hauli nyama, wenzako pia hawali maharage wala dagaa wana vidonda vya tumbo.Maharage yenyewe tu nanga inapaa sembuse nyama, kwanza kiwanda cha nyama cha nini, mnacha kuongelea mambo makubwa mnaongelea nyama? Soko lenyewe liko wapi, au mnaonA ufahari moshi ukiwa unatoka kwenye bomba la moshi, kwanza wengine hatuli Nyama,tunataka barabara, maji, umeme, mahospitali, lishe mashuleni mwana watoto wengi wanafeli sababu ya lishe hakuna nyumbani hola shuleni hola, we unazani shuleni wangekuwa wanagawa pilau kufeli kungekuwepo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama haelewi kitu, viwanda vikifufuliwa yeye atapata ajira na wenye nazo watanunua hizo bidhaa, na mwisho wa mwezi akipata mshahara wake ataenda sokoni kununua anavyovimudu.