BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
WalahiWadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni wachochezi
Msinywe maji kabisaa
Moproco, magunia, celamic,ngozi,bora,carnivals, Moro ilikuwa mji wa viwanda kweli kweli.
Hivi vikitengewa Bilioni miamoja tu (nusu ya bei ya terrible teen) vitafufuka na chenchi itabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata general tyre kingefufuliwa serikali ingepiga ela ya kufa mtu
hata bibi alikuwa binti.