Nitaamini kweli viwanda vinafufuliwa kikifufuliwa kiwanda cha Tanganyika Packers

Nitaamini kweli viwanda vinafufuliwa kikifufuliwa kiwanda cha Tanganyika Packers

Wadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)

Sent using Jamii Forums mobile app
Walahi


Nyie ni wachochezi

Msinywe maji kabisaa
Moproco, magunia, celamic,ngozi,bora,carnivals, Moro ilikuwa mji wa viwanda kweli kweli.

Hivi vikitengewa Bilioni miamoja tu (nusu ya bei ya terrible teen) vitafufuka na chenchi itabaki

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata general tyre kingefufuliwa serikali ingepiga ela ya kufa mtu

hata bibi alikuwa binti.
 
Dah we bwana hunielewi, kiwanda cha nyama hakinA mchango mkubwa saana ndo maana serikali haikuanzia huko, imeanza kwenye elimu bure, then barabara, then reli, au mkuu kwa kuwa wewe unapenda nyama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafugaji ni wengi nchi hii, na nyama si lazima tule watanzani, tunaweza kuuza nje ya nchi. Ila kila la kheri na hayo mambo yenu makubwa huku mkiongeza deni la taifa, badala ya kutoa msukumo kwenye mambo ambayo yataongeza vyanzo vya Kodi ili iwasaidie kufanya hayo mambo yenye mchango mkubwa.
 
Kilikuwa kinazalisha nyama nzuri na tamu sana,kwenye mkeve wa funguo.
 
Walahi


Nyie ni wachochezi

Msinywe maji kabisaa
tapatalk_1502128704830.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah we bwana hunielewi, kiwanda cha nyama hakinA mchango mkubwa saana ndo maana serikali haikuanzia huko, imeanza kwenye elimu bure, then barabara, then reli, au mkuu kwa kuwa wewe unapenda nyama?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu punguza povu,,wewe unaongelea kitu tafaut kabxaaaaa!!!!ati serikali haikuona faida ya kiwanda cha nyama wakaanza na reli na elimu bure
Sasa hayo yanahusiana nini. Na hoja ya viwanda??
Elimu bure na kweli hadi sasa elimu. Bure kwasbb huna wtt wala hujui majukumu na hujui hata uchungu wa skul feez(Ada ya shule) ndomaana unasema hivo,
Reli kweli hadi sasa tunaona wakandarasi wakofanya vitu vyao
Dar to moro standard gauge,,moro to dar kwa gari yangu masaa ma5 lkn mungu jaalia reli niwe hai lisaa moja nanusu tena kwa nauli ya elf3
Tuje ktk viwanda, tanzania ni miongoni mwanchi ipo katka Top Five yenye mifugo hapa Africa
Sasa lazma tuvifufue hususan viwanda vya nyama(Tanzani Packers)
Vikiamka viwanda vya nyama nyuma yake vitaamka viwanda vya ngozi(TANZANIA HIDES&SKINS)
Papo hapo kitaamka kiwanda cha MOROGORO SHOES baada ya kiwanda cha ngozi
Papo hapo vitaaamka viwanda vya maziwa (MAZIWA MARA)
Tatizo nyinyi serengeti boys (YOSSO)enzi zetu tulikua tukivaa SAFARI BOOT made in Tanzania(morogoro shoes)
Hio kiatu ilikua mkataba mguuni ni pyua
Leather[emoji1321]
 
Maharage yenyewe tu nanga inapaa sembuse nyama, kwanza kiwanda cha nyama cha nini, mnacha kuongelea mambo makubwa mnaongelea nyama? Soko lenyewe liko wapi, au mnaonA ufahari moshi ukiwa unatoka kwenye bomba la moshi, kwanza wengine hatuli Nyama,tunataka barabara, maji, umeme, mahospitali, lishe mashuleni mwana watoto wengi wanafeli sababu ya lishe hakuna nyumbani hola shuleni hola, we unazani shuleni wangekuwa wanagawa pilau kufeli kungekuwepo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanda/viwanda vinajengwa ili kuingizia taifa mapato na kutoa ajira ambazo pesa hizo wewe na mim tutanufaika nazo iwe kwa wafanyakazi kuwa na kipato kizuri na mtaani pesa itaonekana, mwenye duka atalipa kodi na zile kodi serikal watajenga hospital, Shule, miundo mbinu ya maji ,umeme, n.k na hali ya uchumi itakuwa safi

Lakin soko pia watanzania tu ni soko zuri kuna watu zaid ya million 50 ( makadilio) kukiwa na mipango mizur tutapata soko zuri la ndani kwa ajili ya bidhaa zetu
 
Back
Top Bottom