Nitaandika barua kwa TFF dhidi ya Uongo na Uzushi wa Mwandishi wa EFM

Nitaandika barua kwa TFF dhidi ya Uongo na Uzushi wa Mwandishi wa EFM

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio.

Jemedari au Bin Kazumali kwa makusudi ameshiriki kwa makusudi kuhujumu timu ya Yanga kwa kuvumisha habari za uongo kwamba kocha wa Yanga hana Leseni ya Caf so Hatakuwepo kwenye benchi la timu ya Yanga.

Nia yake ilikuwa ni kuwakatisha tamaa Wachezaji wa Yanga na wanachama wa Yanga.

TFF ichukue Hatua stahiki dhidi ya Mwandishi huyo Ili Kukomesha Tabia ya Uongo.

I stand to be corrected [emoji120][emoji120]
 
Jemedari Said alikuwa mtumishi wa TFF idara ya technical.

Akafukuzwa kazi na Katibu Mkuu wa TFF Ndio akapata kazi Efm.

Sio mtu wa kumwamini sana.

Ninachojua kafungiwa na TFF kujihusisha na masuala ya mpira.

Kwakuwa alikuwa ni mmoja wa wajumbe wa kamati za TFF.

Lazima TFF wachukue Hatua dhidi ya huu uzushi
 
Nikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...
Kwenye hayo mashtaka muunganishe Maulid Kitenge wa kituo hicho hicho kwa kuanzisha uzushi kuwa Juma Mgunda hana vyeti, hapo utaonekana wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu na siyo shabiki oya oya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...
Kuna kilaza mwingine hapa jf anaitwa ghzwat aliileta iyo habari hapa akawa anaipamba kana kwamba ana uhakika na anachokipost kumbe amekopy utumbo wa Kazumali
 
Kwa hyo na simba waandike barua kwa TFF kwamba maulidi kitenge na yule priva pamoja na nguruwe pori wachukuliwe hatua maana na wao walisema mgunda hana vyeti vya kukaa benchi.

Ila kuwa shabiki wa yanga inahitaji moyo sana maana akili zinaruka automatic kama huyu mleta mada tu.
 
Kuna kilaza mwingine hapa jf anaitwa ghzwat aliileta iyo habari hapa akawa anaipamba kana kwamba ana uhakika na anachokipost kumbe amekopy utumbo wa Kazumali
Kwahivyo ilikuwa ni rahisi kueneza uvumi, na ngojera kuwa Juma Mgunda hana vyeti na kwenye benchi atakaa Nkoma wa Simba Queens huku mkifurahi na kuzua taharuki kwa wengine..!

Tunawaambia hizo ngonjera zenu hata wengine wanaziweza mno kuliko nyie washamba.

Naona hii jambo limewauma sana na bado, Utakavyofanya Ndivyo Utafanyiwa..!

Mimi ...GHAZWAT.. Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa, ni dawa ya Wapunguani kama wewe yaani, sawa..!?
 
Kwa hyo na simba waandike barua kwa TFF kwamba maulidi kitenge na yule priva pamoja na nguruwe pori wachukuliwe hatua maana na wao walisema mgunda hana vyeti vya kukaa benchi
Ila kuwa shabiki wa yanga inahitaji moyo sana maana akili zinaruka automatic kama huyu mleta mada tu.
Mm nadeal na la Jemedari kuzusha Huo uongo. Ajitokeze Mwingine nae Apambanie la Simba
 
Kwahivyo ilikuwa ni rahisi kueneza uvumi, na ngojera kuwa Juma Mgunda hana vyeti na kwenye benchi atakaa Nkoma wa Simba Queens huku mkifurahi na kuzua taharuki kwa wengine....
Wewe ni punguani wa viwango vya lami unapost kitu usichokuwa na ushahidi nacho, mnatafuta furaha ya kulazimisha sasa mnajisikiaje,
 
Kwenye hayo mashtaka muunganishe Maulid Kitenge wa kituo hicho hicho kwa kuanzisha uzushi kuwa Juma Mgunda hana vyeti,hapo utaonekana wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu na siyo shabiki oyaoya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kitenge kanukuu kutoka gazeti la mwanasport kwahyo mwanasport waunganishwe na sio kitenge
 
Wewe ni punguani wa viwango vya lami unapost kitu usichokuwa na ushahidi nacho, mnatafuta furaha ya kulazimisha sasa mnajisikiaje,
Najisikia raha sana Guardiola amekaa kwenye benchi kama walivyopanga Viongozi na mambo yamekuwa poa kwa ushindi murua. Na imeisha hiyo

Acha kujipendekeza sawa? Wewe ni Mpumbavu Maluuni tu kwangu.

Nimekuambia Mimi ni GHAZWAT ni dawa ya Wapunguani kama wewe yaani.

Au ni mgeni hujaambiwa ulipokanyaga hapa Jukwaani..!?
 
Najisikia raha sana Guardiola amekaa kwenye benchi kama walivyopanga Viongozi na mambo yamekuwa poa kwa ushindi murua. Na imeisha hiyo...
Mwana kulitaka kulipewa mwana, dawa imepenya
 
"Sisi tiefuefu hatudili na twita", alisikika kiongozi mkuu akitoa kauli
 
Huyo kibwengo anatakiwa kupuuzwa tu. Maana anafahamika fika ni snitch.
 
Kwa hyo na simba waandike barua kwa TFF kwamba maulidi kitenge na yule priva pamoja na nguruwe pori wachukuliwe hatua maana na wao walisema mgunda hana vyeti vya kukaa benchi
Ila kuwa shabiki wa yanga inahitaji moyo sana maana akili zinaruka automatic kama huyu mleta mada tu.
Hao tuwasamehe maana ni mabwa.bwa
 
Nikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...
Acha kupoteza muda na wachambuzi wanatoa maoni Yao ,maoni yanaweza kuwa sawa au sio sawa
 
Back
Top Bottom