Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio.
Jemedari au Bin Kazumali kwa makusudi ameshiriki kwa makusudi kuhujumu timu ya Yanga kwa kuvumisha habari za uongo kwamba kocha wa Yanga hana Leseni ya Caf so Hatakuwepo kwenye benchi la timu ya Yanga.
Nia yake ilikuwa ni kuwakatisha tamaa Wachezaji wa Yanga na wanachama wa Yanga.
TFF ichukue Hatua stahiki dhidi ya Mwandishi huyo Ili Kukomesha Tabia ya Uongo.
I stand to be corrected [emoji120][emoji120]