Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Intention yake ilikuwa MbayaYaani Kazumari aharibu morali ya wachezaji, wakati wachezaji wako na mwalimu masaa 24 wao lazima wawe wapilj kujua baada ya uongozi.
Na vipi kama alitumwa maksudi kabisa ili kuweka mzani sawa?Jemedari Said alikuwa mtumishi wa TFF idara ya technical.
.
Akafukuzwa kazi na Katibu Mkuu wa TFF Ndio akapata kazi Efm...
Kwenye hayo mashtaka muunganishe Maulid Kitenge wa kituo hicho hicho kwa kuanzisha uzushi kuwa Juma Mgunda hana vyeti, hapo utaonekana wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu na siyo shabiki oya oyaNikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...
Kuna kilaza mwingine hapa jf anaitwa ghzwat aliileta iyo habari hapa akawa anaipamba kana kwamba ana uhakika na anachokipost kumbe amekopy utumbo wa KazumaliNikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...
Kwahivyo ilikuwa ni rahisi kueneza uvumi, na ngojera kuwa Juma Mgunda hana vyeti na kwenye benchi atakaa Nkoma wa Simba Queens huku mkifurahi na kuzua taharuki kwa wengine..!Kuna kilaza mwingine hapa jf anaitwa ghzwat aliileta iyo habari hapa akawa anaipamba kana kwamba ana uhakika na anachokipost kumbe amekopy utumbo wa Kazumali
Mm nadeal na la Jemedari kuzusha Huo uongo. Ajitokeze Mwingine nae Apambanie la SimbaKwa hyo na simba waandike barua kwa TFF kwamba maulidi kitenge na yule priva pamoja na nguruwe pori wachukuliwe hatua maana na wao walisema mgunda hana vyeti vya kukaa benchi
Ila kuwa shabiki wa yanga inahitaji moyo sana maana akili zinaruka automatic kama huyu mleta mada tu.
Wewe ni punguani wa viwango vya lami unapost kitu usichokuwa na ushahidi nacho, mnatafuta furaha ya kulazimisha sasa mnajisikiaje,Kwahivyo ilikuwa ni rahisi kueneza uvumi, na ngojera kuwa Juma Mgunda hana vyeti na kwenye benchi atakaa Nkoma wa Simba Queens huku mkifurahi na kuzua taharuki kwa wengine....
Kitenge kanukuu kutoka gazeti la mwanasport kwahyo mwanasport waunganishwe na sio kitengeKwenye hayo mashtaka muunganishe Maulid Kitenge wa kituo hicho hicho kwa kuanzisha uzushi kuwa Juma Mgunda hana vyeti,hapo utaonekana wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu na siyo shabiki oyaoya
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Najisikia raha sana Guardiola amekaa kwenye benchi kama walivyopanga Viongozi na mambo yamekuwa poa kwa ushindi murua. Na imeisha hiyoWewe ni punguani wa viwango vya lami unapost kitu usichokuwa na ushahidi nacho, mnatafuta furaha ya kulazimisha sasa mnajisikiaje,
Mwana kulitaka kulipewa mwana, dawa imepenyaNajisikia raha sana Guardiola amekaa kwenye benchi kama walivyopanga Viongozi na mambo yamekuwa poa kwa ushindi murua. Na imeisha hiyo...
Hao tuwasamehe maana ni mabwa.bwaKwa hyo na simba waandike barua kwa TFF kwamba maulidi kitenge na yule priva pamoja na nguruwe pori wachukuliwe hatua maana na wao walisema mgunda hana vyeti vya kukaa benchi
Ila kuwa shabiki wa yanga inahitaji moyo sana maana akili zinaruka automatic kama huyu mleta mada tu.
Acha kupoteza muda na wachambuzi wanatoa maoni Yao ,maoni yanaweza kuwa sawa au sio sawaNikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio...