Nitaandika barua kwa TFF dhidi ya Uongo na Uzushi wa Mwandishi wa EFM

Nitaandika barua kwa TFF dhidi ya Uongo na Uzushi wa Mwandishi wa EFM

Nikiwa kama Mwananchi wa Tz na Mwanachama wa Yanga na kusudia kuandika Barua Kwa TFF kuhusu Uongo aliozusha Mwandishi wa Habari wa Efm Radio.

Jemedari au Bin Kazumali kwa makusudi ameshiriki kwa makusudi kuhujumu timu ya Yanga kwa kuvumisha habari za uongo Kwamba Kocha wa Yanga hana Leseni ya Caf so Hatakuwepo kwenye benchi la timu ya Yanga.

Nia yake ilikuwa ni kuwakatisha tamaa Wachezaji wa Yanga na wanachama WA Yanga.

Tff ichukue Hatua stahiki dhidi ya Mwandishi huyo Ili Kukomesha Tabia ya Uongo.

I stand to be corrected [emoji120][emoji120]
Usihangaike na nti mwrnye njaa kama huyo bin msumari
 
Back
Top Bottom