MaweSaba
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 416
- 641
Habari wanauzi
Kuna majina ya maeneo hapa bongo yenye maana za kushoto sana.
Imagine
Kariakoo pale kuna kasehemu kanaitwa GEREZANI
Kahama kuna sehemu inaitwa KAGONGWA
Buza kwa MPALANGE
Ziwa Victoria, linapaswa kuitwa Ziwa Nyanza
Bismark Rock litaitwa Nyanza Rock
Oysterbay pataitwa kwa Bundala
Nitabadili majina yasio na asili kua ya asili, majina ya ajabu yapewe majina ya kuvutia.
Imagine, unamwambia mtu naenda gerezani kariakoo 🙄