george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
-
- #121
Kua na utuKupona kwako imetuuma sana sisi wadogo zako tulikua tumeshagawana hizo mali gari lilikua langu yaani umeamua kupona bila sababu ili sisi tuteseke?
Aisee wakiwa na pakugemea basii wanajiachiaaa , ni lawama tu Kila sikuNdugu wengi miyeyusho sana. Unampa mtaji anaufyeka. Unajaribu kila njia hakuna kitu. Mwisho wa siku wewe ndiyo mbaya. Hata ujitoe namna gani hakuna shukrani. Siku tu ukiacha au ukaingia kwenye matatizo unageuka kuwa mbaya.
Nasaidia ndugu kila ninapoweza ila nachukulia tu ni kama sadaka natoa. Na sitegemei cho chote in return!
Tunga na wewe umekatazwaMtu upo siriaz kutoa ushauri kumbe hadithi ya kutunga. [emoji1787]
Kwa hiyo wewe ni jike dume. Juzi mumeo kakutukania mamaako,leo mkeo anakuuguzaNawe kachukue kama ni lahisi , je wajuaje kama yeye kachukua kwangu
Sina menoKalibu tule bata
Sijasema waibe hati. Nasema ukiendekeza sana undugu wataiba hati tu.Ndio waibe hati
Eti kwa nini Simba hata kwenye mbuzi cup huwa wanaingiza full mkoko?KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!
Kama unavyojua familia za Kiafrika, mmoja akishatoka kimaisha basi unachagua na ndugu zako kuja kuwasaidia. Hiyo ndiyo ilikuwa kwangu, nilihangaika na maisha ya ndugu zangu mpaka wote wakamaliza chuo.
Bila mkopo nilisomesha wadogo zangu wanne, wamemaliza chuo suala la ajira sasa nikawa sina namna, sina connection, hawana kazi ila kila mmoja anahangaika na maisha yake mjini na mimi nikasema nahangaika na yangu.
Nimejitahidi nimejenga kanyumba kangu na kununua kausafiri kangu. Vyote hivi nafanya na mke wangu, yeye anafanya biashara mimi ni muajiriwa, hata pesa ya kuwasomesha kiasi kikubwa ilikuwa inatoka kwenye biashara yaani ni kama mke wangu ndiyo alisomesha ndugu zangu.
Si biashara kubwa ila imesaidia, mwaka jana mwezi wa tisa nilianza kuumwa, niliumwa sana nimelazwa hospitalini kuanzia mwezi wa tisa mpaka mwezi wa kumi na mbili.
Kila kitu nafanyiwa sijitambui, mke wangu alihangaika sana, ndugu mwanzo walikuwa na mimi lakini mwishoni alibaki mke wangu peke yake. Kutokana na kuhangaika na mimi ilibidi watoto kuwapeleka kwao.
Kumbuka nina ndugu zangu hapa Dar, maisha najua ni magumu lakini wangekuwa wameshindwa kuishi na watoto wangu hakuna mtu anataka kabisa, ila ndiyo hivyo kila mmoja alikuwa bize na kazi zake, mara sina mfanyakazi, mara sijui nini basi ikawa hivyo.
Nimetoka hospitalini nikiwa bado na hali mbaya, sema ni ile nimerudishwa tu, nadhani ni kama unaambiwa kafi*e nyumbani. Nimerudi mke anahangaika, mara dukani mara kuniuguza. Mara napata nafuu nashangaa ndugu wanakuja sasa, wanakuwa karibu.
Ni kama walikuwa hawaamini kuwa nitapona. Basi mimi nikawa sina shida ndiyo maisha, kama mwanaume unajua kuwa kupambana ni wewe na mke wako. Basi juzi wakati sasa naangalia vitu vyangu nakuta hati ya nyumba siioni.
Namuuliza mke wangu ananiambia hajui, kadi ya gari sioni, mke wangu ananiambia sijui. Nilipaniki sana nikahisi kuna binti wa kazi aliyekuwepo akaondoka nikajua ni yeye. Basi nikampigia simu kumuuliza, aisee nilichosikia!
Ananiambia mbona Shangazi, alikuja nyumbani na kuchukua kila kitu wakasema wanahifadhi kwa kuwa Mama anaweza kuondoka navyo. Kwa maana ya dada yangu mkubwa, ana ndoa yake, wamekuja na ndugu wengine, wakaingia mpaka chumbani kwangu.
Mke wangu yuko hospitalini eti nikif*a hawatapata kitu mke wangu anaweza kuvificha! Aisee, hasira nilizopata nikiangalia hata sijaka sawa wanangu hawana pa kukaa, aisee! Mke wangu kaingia madeni tena kwa ndugu zake hawa mbuzi wanawaza mali zangu!
Namfuata dada namuambia kuhusu vitu vyangu anajiuma uma, aisee nilichukua pang*a, nikamuangalia jicho moja alitoa kila kitu!
Halafu hawa Mbuzi wasio na akili sasa hivi wanatangaza mke wangu ndiyo kaniloga ndiyo maana nimekuwa makali, naomba uandike hapa wanakusoma waambie waache kuhangaika na maisha yangu maana nitawafurahisha kama wakitaka kumfanya chochote huyu mwanamke!
Nishamaliza nimejua rangi zenu! Yaani haka kanyumba ndiyo mnataka kuhangaika, dada hata kukaa na wanangu tu ili mke wangu ahanagike na hospitali ni shida wakati mtoto wako aliumwa nusu kuf*a mpaka nikauza pikipiki yangu ili apone, nasikitika Mungu nitakuwa sawa ila jueni tu kuwa haitakuwa sawa tena!View attachment 2862305
Penye ukweli uongo hujitenga!Ndio maisha yalivyo
wapo ambao pia walikimbiwa na Watoto wao wa kuzA na Mke wakaja kusaidiwa na Ndugu zao wakati wa changamoto na hali zilipotengamaa Mke na Watoto wakarejea wakaanza kusema Shangazi na Baba zetu wakubwa wabaya sana wanatugombanisha.
Hakuna maisha bila ya changamoto
swali ninalojiuliza
Dada yako alipata access vipi ya kuweza kuingia hadi chumbani na kuchukua nyaraka hizo muhimu na Mkeo hakujua kipindi chote hicho na House girl alikuwa anajua na hakusema hadi ulipomuuliza
Kama sio Movie nitabaki na mshangao sana
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Acha ukorofi 😀🤣Dada Joji leo umeota ndevu
Dah mbavu Sina😀🤣🤣😂🤒Kumbe wewe ni shoga? Mara umeolewa mara umeoa.
Kwahiyo unapiga na unapigwa! Kapate baraka zako kwa papa.
Hii ofisi yako ya UWAKALA iko wapi?KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!
Kama unavyojua familia za Kiafrika, mmoja akishatoka kimaisha basi unachagua na ndugu zako kuja kuwasaidia. Hiyo ndiyo ilikuwa kwangu, nilihangaika na maisha ya ndugu zangu mpaka wote wakamaliza chuo.
Bila mkopo nilisomesha wadogo zangu wanne, wamemaliza chuo suala la ajira sasa nikawa sina namna, sina connection, hawana kazi ila kila mmoja anahangaika na maisha yake mjini na mimi nikasema nahangaika na yangu.
Nimejitahidi nimejenga kanyumba kangu na kununua kausafiri kangu. Vyote hivi nafanya na mke wangu, yeye anafanya biashara mimi ni muajiriwa, hata pesa ya kuwasomesha kiasi kikubwa ilikuwa inatoka kwenye biashara yaani ni kama mke wangu ndiyo alisomesha ndugu zangu.
Si biashara kubwa ila imesaidia, mwaka jana mwezi wa tisa nilianza kuumwa, niliumwa sana nimelazwa hospitalini kuanzia mwezi wa tisa mpaka mwezi wa kumi na mbili.
Kila kitu nafanyiwa sijitambui, mke wangu alihangaika sana, ndugu mwanzo walikuwa na mimi lakini mwishoni alibaki mke wangu peke yake. Kutokana na kuhangaika na mimi ilibidi watoto kuwapeleka kwao.
Kumbuka nina ndugu zangu hapa Dar, maisha najua ni magumu lakini wangekuwa wameshindwa kuishi na watoto wangu hakuna mtu anataka kabisa, ila ndiyo hivyo kila mmoja alikuwa bize na kazi zake, mara sina mfanyakazi, mara sijui nini basi ikawa hivyo.
Nimetoka hospitalini nikiwa bado na hali mbaya, sema ni ile nimerudishwa tu, nadhani ni kama unaambiwa kafi*e nyumbani. Nimerudi mke anahangaika, mara dukani mara kuniuguza. Mara napata nafuu nashangaa ndugu wanakuja sasa, wanakuwa karibu.
Ni kama walikuwa hawaamini kuwa nitapona. Basi mimi nikawa sina shida ndiyo maisha, kama mwanaume unajua kuwa kupambana ni wewe na mke wako. Basi juzi wakati sasa naangalia vitu vyangu nakuta hati ya nyumba siioni.
Namuuliza mke wangu ananiambia hajui, kadi ya gari sioni, mke wangu ananiambia sijui. Nilipaniki sana nikahisi kuna binti wa kazi aliyekuwepo akaondoka nikajua ni yeye. Basi nikampigia simu kumuuliza, aisee nilichosikia!
Ananiambia mbona Shangazi, alikuja nyumbani na kuchukua kila kitu wakasema wanahifadhi kwa kuwa Mama anaweza kuondoka navyo. Kwa maana ya dada yangu mkubwa, ana ndoa yake, wamekuja na ndugu wengine, wakaingia mpaka chumbani kwangu.
Mke wangu yuko hospitalini eti nikif*a hawatapata kitu mke wangu anaweza kuvificha! Aisee, hasira nilizopata nikiangalia hata sijaka sawa wanangu hawana pa kukaa, aisee! Mke wangu kaingia madeni tena kwa ndugu zake hawa mbuzi wanawaza mali zangu!
Namfuata dada namuambia kuhusu vitu vyangu anajiuma uma, aisee nilichukua pang*a, nikamuangalia jicho moja alitoa kila kitu!
Halafu hawa Mbuzi wasio na akili sasa hivi wanatangaza mke wangu ndiyo kaniloga ndiyo maana nimekuwa makali, naomba uandike hapa wanakusoma waambie waache kuhangaika na maisha yangu maana nitawafurahisha kama wakitaka kumfanya chochote huyu mwanamke!
Nishamaliza nimejua rangi zenu! Yaani haka kanyumba ndiyo mnataka kuhangaika, dada hata kukaa na wanangu tu ili mke wangu ahanagike na hospitali ni shida wakati mtoto wako aliumwa nusu kuf*a mpaka nikauza pikipiki yangu ili apone, nasikitika Mungu nitakuwa sawa ila jueni tu kuwa haitakuwa sawa tena!View attachment 2862305
Life is full of experience bro. Wenzio tumefanya Zaid ya hayo na bado hawajawah kuhisi sadaka yetu. La muhimu unatakiwa kujua huwez kuwa huruma kwa watu zaid ya Mungu. So sasa fanya kwa kiasi na Mungu atakusaidia.KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!

Duu,pole. Nimeumia kama vile ni mimi nimefanyiwa.KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!

Masikini si wakuonea huruma, na usimsaidie.KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!