george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
- #101
Ni kweliMtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.....Respect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliMtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.....Respect
KabisaaSoma uelewe kwanza usipayuke payuke kama mnafiki
HawafaiDuuuh wanadamu bhana
Mimi ni mshauri nasaha mambo ya mahusiano ukiwa na tatizo naliwasilisha kwa wadau wanakushauriNdio Ameniacha njia panda na Mm Nisijue nishike lipi
Mimi hua naamini rafiki wa kweli moyo wg basiiiWala sio uchawi wa mbali ni wa hapohapo kwa ndugu na ukoo...
Wakati mwingine baba na mama waweza kuwa wachawi...
KabisaPole sana undugu kazi.
Asante mdauPole
Inafikirisha sana....!!
Mke yupo bize kuuguza mume unapata muda wa kulinda nyaraka ,nae aliiba kwa kutumia udhaifu wa beki tatuNdio maisha yalivyo
wapo ambao pia walikimbiwa na Watoto wao wa kuzA na Mke wakaja kusaidiwa na Ndugu zao wakati wa changamoto na hali zilipotengamaa Mke na Watoto wakarejea wakaanza kusema Shangazi na Baba zetu wakubwa wabaya sana wanatugombanisha.
Hakuna maisha bila ya changamoto
swali ninalojiuliza
Dada yako alipata access vipi ya kuweza kuingia hadi chumbani na kuchukua nyaraka hizo muhimu na Mkeo hakujua kipindi chote hicho na House girl alikuwa anajua na hakusema hadi ulipomuuliza
Kama sio Movie nitabaki na mshangao sana
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Mimi ni mshauri nasaha mambo ya mahusiano ukiwa na tatizo naliwasilisha kwa wadau wanakushauri Sasa mijinga imekalia umbeya tuDada Joji leo umeota ndevu
Ndio waibe hatiKumbuka.
Wahenga walisema maneno mengine yenye maana ukiyaunganisha na habari yako.
1. Tenda wema, nenda zako. Usingoje shukurani.
2. Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.
Mimi mshauri nasaha mambo ya mahusiano ukiwa na tatizo naliwasilisha kwa wadau wanakushauri Sasa mijinga imekalia umbeya tudada joji
KabisaPole ndugu wa kwel ni wanao,rafik wa kweli Yesu
KunywaChai.
Hapana Kuna mishe nimepiga chapuMkuu hio picha ndio gari ndugu zako walichukua? Na hizo hela pia walichukua? Pole tajiri.
Ndio waibe hati ya nyumba ygKumbuka.
Wahenga walisema maneno mengine yenye maana ukiyaunganisha na habari yako.
1. Tenda wema, nenda zako. Usingoje shukurani.
2. Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.
Nawe kachukue kama ni lahisi , je wajuaje kama yeye kachukua kwanguVisa hivi nadhani anavichukuaga kwenye mitandao anatuletea hasa fb kwa Idd Makengo, hata kisa cha mume kumtukania mama ni kutoka Idd Makengo
Mtu upo siriaz kutoa ushauri kumbe hadithi ya kutunga. [emoji1787]Jf tunafanywa kama watoto, huyu mtu kuna uzi wake anaomba ushauri ya kwamba mume wake kamtukania mama yake.
Daa hii inatisha