Nitacheka sana kwa furaha ya kulia Siku uchumi wa Marekani utaporomoka mara 6 ghafla

Nitacheka sana kwa furaha ya kulia Siku uchumi wa Marekani utaporomoka mara 6 ghafla

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola.

Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa amwage mistari ya nguvu.
 
Kwa kifupi wanajf nimekuwa na tabia ya kuichukia sana marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola.
Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa amwage mistari ya nguvu.
Ishuke kabisa nafasi yake ichukuliwe na TZ chini ya jeipiiem
 
Hebu fikiria wewe umebeba chuki moyoni lakini unayemchukia hana habri kabisa anasonga mbele na maisha yake,, huoni kama unaumia bure!?
 
Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola.

Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa amwage mistari ya nguvu.
Wa kuuporomosha ni nani?
Wenzetu wanawaza mbali sana.
Kumwondoa Trump pale ilikuwa ni kwa maslahi ya Marekani.
Wabongo tunawaza mizigo.
Utasikia "dem mwenyewe hana tako" utadhani wewe unalo.

Kiufupi ni kwamba demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kuliko dictatorship. Putin anaelekea kubaya kiuchumi kwasababu ya udikteta wake. China pia watafeli kwani unapokuwa dikteta upinzani wa mipango yako unaanzia ndani kwako. Na bahati mbaya kabisa ni kuwa mipango dhidi yako inakuwa ya siri sana kwani wewe siyo tolerant, huchelewi kufisha.

So kutegemea USA iporomoke leo utakufa wewe na wajukuu zako bado USA ipo juu kwani wameweza kuilinda demokrasia (demokrasia maana yake ni sauti ya wengi) siyo wachache wanaolazimisha kuheshimika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom