Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 855
- 591
Dua la kuku jike halimpati dune la mwewe!!Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola.
Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa amwage mistari ya nguvu.