Mie sikuzote nabaki mpenzi wa Maya Original ya Simaro Lutumba Masiya wa TP OK JAZZ ambao mwanzo uliimbwa na Carlito Lassa (siku hizi kawa Mpendwa) na baadaye wakaja kuuimba na Pepe Kalle. Zote ni poa sana ila huu wa Kiswahili walau unaweza kujua maana yake ingawa maana yake nafikiri imebadilishwa maana kwenye Maya Original analalamika:
"Maya kaondoka na jamaa atakata ticket ili kumfuata ...... watu wa Kinshasa wabaya sana, mtu akifa wao wanacheka....."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.