sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Natambua hii vita ni ya kiuchumi na vita ya kiuchumi kupiganwa paspo kushirikisha marehemu walio kwisha tangulia mbele ya haki hatutoshindwa.
Wakati wenzangu wanaandamana kwenda ikulu Mimi nipo njiani naelekeA Chato Kwa mzira nkende mwenzangu nampalekea mashitaka, ninao kwenda kuwashitaki ni wafatao
Mh Balozi Polepole naenda kukushitaki umekubali bandari iuzwe wakati wewe na wenzako mlijivisha gwanda la uzalendo kumbe mlikuwa mnatulaghai. Laz sivyo jiuzulu ubalozi wa Cuba uje tulinde bandari yetu.
Nakushitaki Prof uliyotolewa majalalani, Wewe nawe unemungana nao kupitisha azimio la kuuzwa au kukodishwa kwa bandari yetu.
Nakushitaki Wewe Bashiru kakulu, uliyeshiriki kusaini azimio la kuuzwa ziwa Victoria.
Nikitoka hapo ntaenda Butiama kuzungumza na mizimu ya Kizanaki mbele ya kaburi la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Ntawashitaki Hawa sinior chawa wa mama yaani.
Mzee Butiku walah ntaeleza ukimya wako Ili hali mwalimu alikufunza uzalendo.
Ntamshitaki na Warioba Jaji Huyu na Waziri mkuu mstaafu. Kwanini upo kimnya Ili hali bandari inauzwa?
Baada ya hapo, ntajiandaa kuanda petion ya kuingia serikali ya CCM madarakani.